Mwanamama Keyshia Cole a alitangaza rasmi kuwa amemtimua kazi aliyekuwa Manager wake wa mda mrefu Manny Halley.na alisikika akisema “Would like for u guys to know that Manny Halley is no longer my management”,ila waandishi wahabari waliokuwepo karibu walitaka kujua sababu gani iliyomsibu mpaka kimtimua manager huo hakutaka kutoa majibu...alibaki katika msimamo kwamba kuanzia sasa si manager wake tena ..Kumbuka mwanamama Keyshia’ Album yake mwezi uliopita ilishika nafasi ya 9 katika chat za Billboard katika albamu bora 200 kwa mwezi uliopita.vile vile . single “I Ain’t Thru”with Nicki Minaj ilikuwa moja ya ngoma ambayo mpaka sasa imemuweka katika chat mbali mbali huko nchini Marekani...
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








