Google PlusRSS FeedEmail

LINEX ANAKUJA NA MOYO WA SUBIRA

Msanii mwenye sauti ya kipekee unaposikiliza nyimbo zakeLinex baada ya kusumbua na wimbo wake wa Mama Halima sasa anakuja na kitu kingine tena kinachoitwa  Moyo wa subira..,
Linex amesema wimbo huo umetengenezwa na Producer Mona Gang Star ambaye ndio Producer ambaye ametengeneza kazi zote za msanii ambaye anafanya vyema katika game  Belle 9.
Linex pia ameongezea na kusema video itaanza kutengenezwa wiki hii na itasimamiwa na Erlyn kutoka Show Biz,  "Nataka kufuata dhana ya kwamba Mama Halima ilifanya vyema sana  na mtu ambaye anasema kwamba haikufanya vyema basi   hajawahi kufuatilia game yangu imetoka wapi"

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging