Kijana anaefanya Style tofauti na zile tulizozizoea hapa nyumbani Charles Benedicto Halawa anaetambulika kwa jina la kisanii CBH akiwa katika kampuni ya Show Biz Defind ametoa ngoma 3 kwa mpigo nakuacha watu hoi kutojua ipi kali kuliko 1-Am Inlove, 2-Broda, 3-Oweooh, na wimbo wa Broda umesimamiwa na Producer Manecky huku wimbo wa Oweooh umetengenezwa na Mr. Chocolate Bob Junior.
Vile vile ameomba zaidi kupigiwa kura kila ngoma zinapoingia kwenye mizunguko ya chat mbali mbali za vituo vya Radio,Tv,na nje ya Tanzania
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








