Google PlusRSS FeedEmail

WASHINDI WA TUNZO ZA KILIMANJARO MUSIC AWARDS 2011 WAUNGANA KUFANYA ALBAMU YA PAMOJA

Wasanii waliopata bahati ya kupata tunzo ya Kilimanjaro Music Award mwaka jana 2010,kwa pamoja wamejikusanya na kuamua kuachia Albamu ya pamoja,kwa mujibu wa chanzo hicho cha habari kinasema kuwa wasanii hao kwa pamoja watajichimbia katika Studio za Fishcrab kwa ajili ya kufanya kazi hiyo,chanzo hicho kiliongeza kuwa mbali na kufanya albamu hiyo ya pamoja wako katika maandalizi mengine kwa ajili ya kupokea tunzo zingine ambazo zinatarajiwa kutoka mwezi wa 4 mwaka huu..Baadhi ya wasanii ambao wako katika albamu hiyo ya pamoja ni Chid Benz,A,Y,Diamond,Joh Makini,na wengine wengi

This entry was posted in

One Response so far.

  1. Anonymous says:

    it is a good idea,


    keep it up, the show was very fare........


    regards,

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging