Google PlusRSS FeedEmail

MZEE YUSUPH MIMI SIJAFA UKIMSIKIA MTU ANASEMA NIMEKUFA MUOMBE MCHANGO

Kuna uvumi ambao si mzuri unaoenezwa na baadhi ya watu kuwa mwanamuziki wa Miondoko ya pwani nikiwa na maanisha muziki wa mwambao ama Taarabu,amefariki dunia,Uvumi huo si wa kweli kabisa kwa maana yuko hai ila ni mgonjwa na amelazwa katika hospitali moja huko kibaha mkoani pwani,kwa mujibu wa Hidaya Mashaura ambaye alifanya nae mahojiano kupitia katika kituo cha Uhuru Fm,Mzee alisikika akisema "nashangaa uvumi huu unazidi kuenea mimi ni mzima ila nasumbuliwa na miguu,na ukimsikia mtu anaendelea kueneza uvumi huo tafadhali muombe mchango wa rambi rambi,sijafa naendela vyema na sasa nimerudi nyumbani,kuendelea na matibabu..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging