Kuna ule usemi usemao Mteja ni Mfalme ila huko Jijini London mambo ni tofauti kabisa maana wao mteja msumbufu ni fala tu Mwanamama kutoka katika kundi la Young Money unaweza kumwita Princess Nicki Minaj ameikuta akipewa kibuti katika hoteli aliyoifikia ya Dorchester mjini London Uingereza kufuatia usumbufu ulioonyeshwa na mashabiki wake kiasi cha kuwasumbua wageni wengine hotelini hapo.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








