Google PlusRSS FeedEmail

WATEGWA WAMPOTEZA IZZ

Mmoja wa Artist anayeunda kundi la Watengwa toka Kijenge ya juu pande za A-Town,Pacha Izz ameuwawa kwa kuchomwa kisu. Kwa mujibu wa Jacob Makala aka Rapper JCB toka Kundi la Watengwa,tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia jana pande za Clock Tower pale City Center na kulitokea kupishana kiswahili na Changudoa akitokea Club,Na baada ya kufanya tukio hilo Dada huyo alikamatwa na kupelelekwa Polisi na Mama mzazi wa Marehemu Pacha Izz aliomba huyo dada aachiwe! Kwa sasa mipango ya mazishi bado inafanywa na hajajulikana Pacha Izz atazikwa lini.Na tukio hili linafanana na lile la kuchomwa kisu kwa Hip-Hop Artist toka kundi la X-Plastaz,Marehemu Chrizostorm Buchard aka Faza Nelly,March 26 2006 jijini Arusha na kichaa toka pande hizo.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging