Google PlusRSS FeedEmail

BEEF KATI YA RIHANNA NA CIARA LAHAMIA KATIKA MTANDAO

Celebrities wa kike inasemekana wako kwenye beef kali baada ya kutupiana maneno  kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter.
Beef hii imepewa aka social media beef ni kati ya Ciara na Rihanna na ilianza baada ya wataalam wa mitindo na mavazi wakiwa kwenye TV show na Ciara kulichambua gauni la Rihanna alilovaa hivi karibuni.
Na wakati majadiliano Rihanna alitupia kwenye “Twitter My bad ci, did I 4get to tip u?How r u de of me?” Na saa moja baadaye Ciara naye alijibu Trust me Rihanna u dont want to see me on or off the stage!
Lakini baadaye alitupia tena kwenye Twitter account yake kwa kumwambia Ciara kuwa yamekwisha na hiyo ilikua kama utani tu na hana beef naye

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging