Hip Hop artist Barry Adrian Reese aka Cassidy inasemekana amekamatwa pande za Hackensack,New Jersey kwa kile kilichosemekana kuwa Cassidy anahusishwa na mauaji na matukio mengine mawili ya uhalifu yaliyotokea pande za Philadelphia
Polisi wa Philadelphia walimfuatilia Cassidy tangu alipotoka home kwake mchana na kulisimamisha gari lake kitendo kilichomshangaza sasa Cassidy na anatarajiwa kupelekwa mjini Philadelphia soon kujibu mashitaka