Google PlusRSS FeedEmail

HABARI NJEMA KUTOKA KWA BEYONCE KNOWLES

Beyoncé Knowles amekamilisha nyimbo 72 ambazo inasemekana kuwa huenda zikawa kwenye album yake mpya ya 4
Album ya 4 ya Beyonce itaitwa 4 ya kwanza ilikua Dangerously In Love (2003), ya 2 ilitwa B’Day (2006) na ya 3 iliitwa I Am… Sasha Fierce (2008) na kusema kuwa namba 4 ni kitu maalum sana kwake coz ni 4 ni tarehe aliyozaliwa,Birthdayya mama yake,April 4 ni siku aliyoolewa na tarehe 4 pia washikaji zake kibao wamezaliwa...!

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging