Google PlusRSS FeedEmail

KICHWA KIPYA TOKA TETEMESHA RECORDS

Nachukua nafasi hii kukushkuru sana kwa support unayoendelea kutupatia kiukweli bila mchango wako hatuwezi fika popote. Sisi kama TETEMESHA RECORDZ tumejiwekea malengo ya kuwa tunajaribu kutafuta wasanii wachanga kabisa lakini wenye vipaji na kuwapika kisha kuwatambulisha katika music industry hapa Tanzania
Tulianza na HUSSEIN MACHOZI,akafuata SAJNA na sasa ni zamu ya msanii mwingine mpya C-SIR MADINI kutoka Mwanza na ina lake kamili ni PETER MPONEJA, na jina lake matumizi ya Muziki litakuwa likiandikwa C-SIR. ila kwa ukamilifu wake tunaomba mumpokee kwa majina mawili yaani C-SIR MADINI. Huu ndio wimbo wake wa kwanza kutoka,na utakuwa katika album yake ya kwanza ambayo bado tunaendelea kuirekodi.Video ya wimbo huu imekwishafanyika chini ya ADAM JUMA wa VISUAL LAB NEXT LEVEL na itatoka siku chache zijazo....

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging