Google PlusRSS FeedEmail

TITO JACKSON KUWA BALOZI WA TAASISI YA JARAMOGI OGINGA ODINGA

Waziri mkuu wa Kenya,Raila Amolo Odinga amemchagua Toriano Adaryll Jackson Tito Jackson toka Marekani,ambaye ni kaka mkubwa wa Michael Jackson (aliyekua anaunda kundi la The Jackson 5) kuwa Balozi wa Taasisi ya Jaramogi Oginga Odinga Foundation (J.O.O.F.)
Mbali ya kuchaguliwa kuwa balozi wa taasisi hiyo iliyoanzishwa na kumuenzi baba yake Raila,Marehemu Mzee Jaramogi Oginga Odinga pia Tito Jackson amepewa uraiwa wa heshima wa Kenya aka Honorary Citizen of Kenya na kazi yake kubwa itakua kuanzisha na kuendeleza kazi za taasisi hiyo na kuieneza duniani na tasisi yake nchini Kenya Uteuzi huo umefanywa April 16,2011,akiwa kama balozi wa heshima wa J.O.O.F. Atafanya kazi na Kenyan Ambassador Dr. Wenwa Akinyi Oranga na ofisi ya J.O.O.F. ya nchini Marekani ipo jijini Los Angeles,California

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging