Google PlusRSS FeedEmail

NAS ATANGAZA RASMI UJIO WAKE MPYA

New York rap star Nasir bin Olu Dara Jones - Nas ametangaza ujio wake wa new upcoming solo album Nas alitupia kwenye Twitter account yake na kulifungua jina la album hiyo mpya itakayoitwa Life is Good,ambayo utengenezwaji wake utahusisha producers mbalimbali,bila kumsahau Producer maarufu Salaam Remi producers wengine maarufu Studio album ya 9 na ya mwisho kutolewa na Nas ilitoka July 15,2008 iliyoitwa Nigger lakini kutokana na utata juu ya jina hilo aliamua kuiita album yake hiyo,Untitled ambayo ilishika chati za Billboard's Top 200 Albums chart

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging