Google PlusRSS FeedEmail

SEAN KINGSTON AZIDI KUPATA NAFUU

Hali ya Artist Sean Kingston inaendelea vizuri kwenye hospitali aliyolazwa Jackson Ryder Trauma Center mjini Miami,baada ya kupata ajali wakati akiendesha pikipiki za kwenye maji aka jetski na kugonga daraja linalounganisha Palm Island na MacAuthor Causeway na kwa sasa ametoka chumba cha wagonjwa mahututi aka ICU Wote Sean Kingston na abiria mwanamke aliyekua naye wanaendelea vizuri na Polisi wanaendelea na uchunguzi wa ajali hiyo na kama itahusishwa na unyaji wa pombe uliosababisha uzembe wa ajali hiyo,basi Sena Kingston atakua matatani...!

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging