Google PlusRSS FeedEmail

P SQUARE WAJA NA ALBUM MPYA

Paul na Peter Okoye tangu walipoanza muziki mwaka 2001,wameshaachia  album 4 zenye mafanikio,kuanzia Last Night (2003),Get Squared (2005), Game Over (2007) na Danger,kwa mujibu wa P-Square kwa sasa wako kwenye mishemishe za kutayarisha album yao mpya ya 5
Na katika maandalizi ya album concert,P Square wamewachukua dancers 12 (6 wa kiume na 6 wa kike) walipofanya mchakato wa kuwatafuta dancers watakaoshirikiana nao kwenye maandalizi ya album yao ya 5 na kwa sasa wako kwenye mazoezi kwa muda wa miezi 3 sasa na album yao inatarajiwa kuwa na kati ya track 10 na 13,zikiwemo za Bunieya na Forever ambazo zitakua kitaani soon kwa fans wao

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging