Google PlusRSS FeedEmail

SINGER SEAN KINGSTON HURT IN JET SKI CRASH

Sean Kingston yuko mahututi baada ya kupata ajali huko  Miami Beach,alipokua anaendesha pikipiki za kwenye maji  Jet Ski
Sean Kingston alijeruhiwa baada ya kugonga daraja linaloiunganisha Palm Island na MacArthur Causeway na alikimbizwa kwenye Jackson Memorial Hospital,kwa matibabu akiwa pamoja na mwanamke aliyekua naye wakati akiendesha pikipiki hiyo
Wasanii na fans wake wengi wamekua wakimtumia salamu za pole na kumuombea apate nafuu haraka kwenye mtandao wa Twitter

Sean Kingston alizaliwa February 3,1990 Huko Miami-Florida kabla ya kuhamia Kingston, Jamaica akiwa na miaka 6 na aliachia single ya Beautiful Girls May 2007,iliyoshika namba 1 kwenye US Billboard

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging