Google PlusRSS FeedEmail

WAZAZI HAWATAMBUI MAANDALIZI YA NDOA YA D"BANJ GENEVEVIEVE

Baada ya habari kusambaa kuwa Superstars toka Nigeria,Actress Genevieve Nnaji na Msanii D'banj kuwa wanaoana wazazi wa pande mbili wameibuka na kukana kuwa wanaoana
kwa mujibu wa wazazi wa msanii D'Banj,Mr na Mrs Oyebanjo,Producer wake Don Jazzy na Manager wake Sunday wamesema kuwa hawajui kama kuna mipango ya maandalizi ya harusi na inasemekana kuwa D'Banj hajamtambulisha kwa mujibu wa kabila lake la Yoruba,na familia nzima inamshangaa D'Banj kuchagua siku ya kufunga ndoa bila ya kuwataarifu wazazi wake wala watu wake wa karibu kimuziki

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging