AKI NA UKWA WA TANZANIA WAANZA KWA KASI YA AJABU Posted on by Unknown Mwigizaji maarufu wa filamu nchini, Emmanuel Myamba maarufu kama Pastor Myamba, amesema anawambaulisha kwa wadau wa filamu nchini wasanii wawili ambao wanajulikana kama Meya na Mogan ambao wanaigiza kama Aki na Ukwa wa Nigeria.