Wasanii 50 wa muziki wa kizazi wamekamilisha video ya maalum ya kuadhimisha miaka 50 ya amani, kwa kuimba wimbo wa pamoja katika viwanja vya taifa katika kuadhimisha miaka 50 ya amani nchini. Akizungumza na mwandishi wa safu hii, kiongozi wa kundi la Tmk Wanaume Saidi Fella ‘Mkubwa Fella’ amesema lengo la wasanii ni kuwakumbusha Watanzania kwamba miaka 50 na chaguzi nyingi zimepita ni jambo la kujipongeza.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








