Google PlusRSS FeedEmail

AT KUJA NA WIMBO MPYA UNAOITWA VIFUU TUNDU.


Msanii anayejulikana kwa jina la AT kwa hivi sasa yupo mbioni kumalizia album yake ya mduara inayokwenda kwa jina la ASILI HAIPOTEI. AT amesema kwa hivi sasa anatarajia kutoa wimbo mwingine unaoitwa VIFUU TUNDU ambao umetengenezwa studio ya KIRI REC iliyopo Kinondoni chini ya Producer C9. Anaomba mashabiki wake wawe na moyo wa subira kwani mambo mazuri hayanaga papara.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging