Baada ya za chini ya maji kufunguliwa kuwa Artist Nonini toka kenya na Lady B kuwa wanapiga collabo ya kimalavidavi,na kwa sasa inasemekana kuwa Nonini na Lady B wanatarajiwa kufunga ndoa ya siri mwezi September kisiwani Zanzibar
Nonini na Lady B inasemekana wanafanya issue hiyo kwa siri kubwa, japo wameshakana mara kibao kuwa wanauhusiano wa ki-zinzi na longtime kitambo Lady B aliandikwa kwenye media za Kenya kuwa ana Uhusiano wa ki-zinzi na Rapper toka Tanzania,Chidi Benz aka Chuma na baadaye Artist toka TMK Wanaume Family Chege Chigunda
Kwa sasa wana hit songs iitwayo Genge Love na Kumbuka na inasemekana wanaishi pamoja kwa sasa