Google PlusRSS FeedEmail

BAADA YA AJALI SEAN KINGSTON NDANI YA LUGOGO - KAMPALA -UGANDA

Baada ya kupata ajali mbaya huko Miami Beach akiendesha piki piki za kwenye maji  (jet-ski),Sean Kingston kwa sasa yuko poa na hivi juzi  promoter toka Rwanda alitangaza kuahirisha show ya Sean Kingston ,lakini pia alikua apige show huko  Lugogo,29 July2011 jijini Kampala

Lakini promoter aliyeandaa show ya Sean Kingston nchini Uganda amekomaa na kutangaza kuwa show iko pale pale na atapiga show pande za Lugogo tarehe 29 July,2011 chini ya udhamini wa Club Beer na Talent Africa
Sean Kingston atakamilisha orodha ya wanamuziki maarufu waliowahi kupiga show nchini Uganda kama Shaggy,R.Kelly,Wyclif Jean,Akon,Beenie Man, Elephant Man na Joe Thomas

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging