Google PlusRSS FeedEmail

OLIVER MTUKUDZI KUWA BALOZI WA UNICEF

Music legend toka Zimbabwe,Oliver Mtukudzi aka Tuku amechaguliwa kama Balozi wa UNICEF kanda ya mashariki na kusini mwa Afrika aka UNICEF Regional Goodwill Ambassador for Eastern and Southern Africa
Oliver Mtukudzi atafanya kazi za UNICEF kuhamasisha vijana kuhusu HIV kwenye kanda hizo na ataungana na Mwanamuziki Maarufu toka Afrika Kusini,Yvonne Chaka Chaka ambaye anaisaidia UNICEF kupambana na Malaria

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging