Tunzo za pili za Museke Online Africa Music Awards (MOAMAs) ziko tayari na Artists,Record labels, Producers,Djs na wadau wengine wa muziki wanatakiwa watume kazi zao ili ziweke kwenye vipengele mbalimbali vya tuzo hizo kwa mwaka 2011
Miziki ambayo imetoka na kupata airplay kuanzia January 1,2010 mpaka 1 January,2011 ndiyo inayohusika zaidi kwenye tuzo hizo ambazo zinawahusu zaidi wasanii toka Afrika na hata nje ya Afrika na tuzo zinatarajiwa kufanyika rasmi September 2011 na tuzo hizi hufanyika kwa njia ya mtandao!








