Rihanna ameingia kwenye mzozo baada ya kutoa video ya wimbo wake mkali wa Man Down
Video ya Man Down imetengenezwa Kingston-Jamaica na RiRi alionekana akimpiga risasi kwa kutumia bastola jama aliyekua anapita kwa chini kwenye stesheni ya treni kwasababu kwenye chorus ya ngoma hiyo kuna maneno ya "Mama, I just shot a man dead"
Kwa mara ya kwanza video hiyo ilioneshwa na televisheni ya BET na wadau wa The Parents Television Council walifunguka na kuitaka Televisheni ya BET video hiyo ifungiwe coz itasababisha vijana wengine wadogo kuingia kwenye uvunjifu wa amani
Mwaka 2009 Rihanna alipata kipigo toka boyfee wake wa zamani Artist Chris Brown,na wengi walioiona video ya Man Down wanafunguka kuwa ni kama amehusisha video hiyo na kitendo kilichotokea kati yake na Chris Brown