Artist wa Bongo Flava ,Godfrey Tumaini aka DuduBaya inasemekana kuwa amekamatwa na kufikishwa mahakamani mkoani Mwanza
DuduBaya ammbaye kwa muda mrefu alikua mikoa ya kanda ya ziwa,inasemekana anadaiwa kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na amefikishwa kwenye Mahakama ya Mwanzo Wilaya ya Geita,Mkoani Mwanza