Google PlusRSS FeedEmail

USHERR - KERI HILSON WATAFUNGUA SEASON MPYA YA TUSKER PROJECT FAME


KERI LYNN HILSON
USHER TERRENCE RAYMOND
Wakali toka Mbele,Usher Raymond na Keri Hilson watadondoka jijini Nairobi-Kenya kupiga show na mshindi wa Season mpya ya Tusker Project Fame iliyobatizwa jina la Tusker All Stars-2011,kwenye viwanja vya Carnivore tarehe 20 August,2011
Washiriki wa Tusker All Stars kwa mwaka huu ni wale waliotisha kwenye season zilizoisha kuanzia,Mshindi wa Tusker Project Fame Season 3,Alpha Rwirangira toka Rwanda, Bernard Nganga na Patricia Kihoro toka Kenya na Season 2 ni Hemedy Suleiman,Peter Msechu toka Tanzania na Mshindi wa Tusker Project Fame season 4 Davis Ntare wa Uganda,Amileena Mwenesi na Caroline Nabulime pia amepata shavu
Tusker All Stars – 2011 itaanza 26 June,2011 na washiriki watakaa wiki 8 wakati fainali itafanyika tarehe 14 August,2011

This entry was posted in

2 Responses so far.

  1. Anonymous says:

    does that mean,that only the previus contestants will be performing????

  2. Anonymous says:

    i hope not.....,

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging