Wakati Pro-24 Djs wakiwa wanajiandaa na ule usiku mkubwa,unaosubiriwa kwa hamu na wadau mbali mbali wa muziki ambao kila kukicha joto la usiku huo linazidi kupanda,Maana nitaani story ni moja tu Usiku wa 103 Degrees utakuwa usiku wenye joto la aina yake usikose maana ukikosa utakuwa umekosa bonge la burudani kutoka kwa pro 24 djs,chini ya Djs wake wenye viwango vya kimataifa nao niDj Joe,Dj Chill,Dj Tass,Dj Kevy,Dj Arnold,Dj Mass,Dj John,Dj Victor,na Dj Tix...wakati ukiwa unasubiri joto hilo Pro 24 djs wanapenda kukukaribisha wewe mdau kwenye usiku wa Utamu Nite ndani Club Masai kinondoni maana pale nako kutakuwa na burudani ya aina yake kuanzia saa tatu usiku wa leo jumatano usikose ..
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








