Google PlusRSS FeedEmail

AFROPOP ARTIST TOKA KIJENGE - ARACHUGA


Afropop artist "Mayree" toka Kijenge arachuga,mwenye sauti ya mvuto
anatarajia kujikita zaidi kwenye game akiwa na nyimbo kadhaa ambazo
amezirekodi tayari na swala la video likiwa katika mpangilio wa
kuchagua mwimb gani mwanadada aanze na video ya track gani,
"Nimerekodi studio kadhaa hapa arusha ikiwemo Fnouk Studios Njiro
chini ya producer Bob Julie na Kamikaze,na kazi nyingine iitwayo
"watch me" nimeshirikiana na Narx na nimerekod nizmekah studios
sakina,muziki wangu ni afropop kwa ajili ya mchanganyiko wa ladha za
kiafrika na ulaya

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging