Gwiji la Muziki toka Senegal,Youssou N'dour ni mmoja kati ya watu 10 ambao walipewa degree ya heshima na Chuo cha Yale cha nchini Marekani
Youssou N'dour ni msanii anayeheshimika sana Afrika na duniani mbali na kua muimbaji pia ni songwriter na muziki wake una vionjo vya Cuban samba,hip-hop, jazz na soul na gazeti la The New York Times la Marekani limemtambua kama “West Africa’s cultural ambassador to the world”
Youssou N'dour alitumia kipaji chake cha muziki na mwaka 1985 aliandaa concert wakati Mzee Nelson Mandela,pia ameshiriki Concert kubwa kama za Amnesty International na Live 8 Concerts na pia ni Balozi wa heshima wa UNICEF aka UNICEF goodwill ambassador