Google PlusRSS FeedEmail

DADDY YANKEE ASHITAKIWA KWA KUIBA WIMBO

Artist toka San Miguel nchini Mexico amefungua kesi ya mada dhidi ya Artist mkali wa Reggaeton,Ramón Luis Ayala Rodriguez aka Daddy Yankee kuwa aliiba wimbo uliotamba sana wa Rompe David Moser amefungua kesi kwe mahakama ya wilaya ya Illinois,na kudai kuwa Daddy Yankee aliiba wimbo wake ulioitwa Anoche alioutoa mwaka 1998 ambao ulipata airtime sana nchini Mexico City unaofanana sana na Rompe wa Daddy Yankee ulioshika #1 kwenye Billboard's Hot Latin Tracks chart kwa miezi 3 mfululizo Daddy Yankee na label yake El Cartel wanashitakiwa kwa uchakachuaji na David Moser anadai fidia ya dola 150,000 za Marekani kama fidia ikiwa pamoja na mgao wa mapato ya mauzo ya wimbo wa Rompee

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging