CODUT TOKA A- TOWN Posted on by Unknown Codut,msanii toka Arachuga anakuja na ngoma mpya jakiwa amemshirikisha YB na pini hili lilosukwa na producer dx ni muundo wa new school hiphop yaani crunk kwa lugha nyingine,Endelea kufatilia