
Mashabiki wa wasanii wa Hip Hop Rapper Jay Z - Kanye West,wako katika hamu kubwa kusikia ngoma mpya ya Rapper hao ambayo inatarajiwa kuachiwa,August 8,katika vituo vya Radio&Tv kote Duniani na kuanzia August 12 itakuwa katika maduka mbalimbali ya Cd,Tapes,Lp kote Duniani...Wasaniii hao kwa pamoja walisema hayo wakati wakihojiwa na katika kipindi cha 106 & Park cha BET..kwa pamoja walisikika wakisema
"We know that you are busy, and that you put most of your energies into creating great music, but we are writing to you in the hope that you will hear us and take the time to rectify this matter," the letter reads. "As representatives of the independent record store music community, we are asking you to allow record stores and music fans equal access to your new album."







