Mama wa mtoto Jasmina Anema (7), mshabiki/ rafiki mdogo wa Rihanna, aonekana kugadhiwa juu ya huduma ya mwanamuziki huyo. Rihanna ambaye miezi michache iliyopita alipata nafasi ya kumtembelea mtoto huyo ambaye alikuwa amelazwa hospitali kwa ugonjwa wa leukemia. Alituma ujumbe kwa watu kuwa anajitolea kumsiadia “bone marrow” mtoto Jasmina, na kumhalika kwenye moja ya show zake miezi michache iliyopita.
Sasahivi mtoto Jasmina amefariki na mama wa mtoto huyo anasema: “inaonekana wazi kuwa Rihanna alikuwa akimtumia mtoto wangu kwa kujionyesha kwa watu tu”. Na kuongezea kwenye ukarasa twitter mama Jas’ anasema: