Promoter wa nyota Whitney Houston ambaye ni mke wa mwanamuziki Bobby Brown ameweka wazi kuwa mwanamama huyo hataki kuacha kuvuta sigara.
Kutokana na tabia hiyo, nyota huyo anapata tabu na sauti yake kila mara afanyapo maonyesho.
Mwanamama huyo yuko nchini Australia kwa ajili ya maonyesho kadhaa lakini hata hiyo amekumbwa na malalamiko kutoka kwa mashabiki wake ya kuwa anashindwa kumalizia maonyesho hayo kutokana na kutokuwa na pumzi ya kutosha ukizingitia baadhi ya nyimbo zake ni hisia sana ambazo zinahit