
Ule usiku wa 103 Degrees ambao ulikuwa ukisubiriwa kwa hamu hatimae umewadia leo Ijumaa July 1..
Maana tumebakiza masaa machache tu ,ili wadau tujumuike pamoja ndani ya Maisha Club...Hakika utapata bonge la Burudani toka kwa Djs wa Pro-24 djs ambao wamejipanga kwa ajili ya kukupa wewe mdau rahaaaaaa....usikose








Yes club maisha is on fire today!!