Google PlusRSS FeedEmail

SAMA ATANGAZA VITA DHIDI YA KAZI ZA WASANII WALIOCHINI YA LEBO YAKE NCHI NZIMA


Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari katika kituo cha Polisi Urafiki baada ya msako wa kuwakamata wachakachuaji wa Kazi za wasanii mbalimbali nchini. Mkurugenzi huyo amesema msako huo ulioanza wiki moja iliyopita utadumu kwa mwaka mzima nchini kote.
Pichani Juu na Chini ni Mmoja wa anayeshukiwa kuwa mwizi wa kazi za wasanii nchini aliyejulikana kwa jina la Francis Deusi Masamaki akiwa anakusanya CD na DVD mbalimbali ambazo alizokamatwa nazo takribani 200 zenye thamani ya shilingi Milioni tatu na laki sita maeneo ya Ubungo jijini Dar es Salaam.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging