D- MNOKO UPCOMING ARTIST KUTOKA KATIKA KIZAZI CHA NAKOZ
Posted on by Unknown
D-Mnoko, upcoming msanii toka kundi la the "Nokoz" wenye maskani yao
arachuga anakuja na pini "Michezo ya hatari" ikiwa ni ngoma ya hiphop
inayoelezea mengi kuhusu maisha ya mtaani,pini hili limesimamiwa
upande wa vocal recording na mixing pande za noizmekah studios
arusha..