Google PlusRSS FeedEmail

VILE VILE - VIDEO YATENGENEZWA AFRICA YA KUSINI

                 
Wasanii wa muziki wa Hip Pop Nchini Tanzani Jay -Moe na Mchizi mox wako nchini Africa ya kusini kwa ziara maalumu,kwa ajili ya show na ku-Record video ya wimbo Vile Vile ,wasanii hao ambao wameongozana na na Dj Choka wameanza kazi hiyo mara ya kurejea kutoka Cape Town..na kwa sasa kazi yote ya kutengeneza Video hiyo inafanyika katika Jiji la Jo"Burg nchini humo..na hizi ni baadhi ya picha wakiwa katika kukamilisha kazi hiyo
             
             

                 
PICHA KWA HISANI YA DJ CHOKA

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging