
Rapper Machacgari toka nchini marekani aandika kitabu chake kuhusiana na albamu yake yake ambayo inayokwenda kwa jina la Red Albamu
The game akiwa anafanya mahojiano na kituo cha Tmz alisikika akisema,"nimeamua kuandika kitabu hichi ni kwa ajili ya mashabiki wangu nataka wajue mengi kuhusiana na Red Albamu kwa maana ni mengi yamenikuta wakati wamaandaandalizi wa albamu hii,wasomaji wa kitabu pia watapata kujua mengi kuhusiana na mimi mwenyewe pamoja na mashairi ya nyimbo zote katika albamu zitakuwepo katika kitabu hichi"







