
Kinyume na matarajio ya wengi Rapper T.I ambaye anatarajiwa kuachiwa huru kutoka jela leo August 31 kuna habari,za chini kwa chini Rapper huyo akaendelea kukaa jela kwa muda usiojulikana..TI Ambaye ameshikiliwa katika gereza moja huko Arizona nchini Marekani alitarajiwa ku toka jela juzi August 29 ila kwa mujibu wa mwanasheria wake Jonathan Leonard,ambaye amekuwa akisimamia kesi za Rapper huyo tangu mwaka 2002,alisikika akisema Mteja wake alitarajiwa kutoka juzi August 29 ila kwa sababu ambazo hazijui,
Aliongeza kwa kusema ofisi ya magereza haiwezi kutoa taharifa za kuachiwa kwake mpaka dakika za mwisho alisikika akiiambia jarida la XXL...







