Google PlusRSS FeedEmail

MSAMA PROMOTION & AUCTION MART YAENDELEA KUKAMATA WEZI WA KAZI ZA WASANII TANZANIA


Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion&Auctionmart ameendelea na harakati za kuwakamata maharamia wa kazi za wasanii nchini..kwa mara nyingine msama amefanikiwa kuwashika maharamia wawili  Bashir Abdul na Jofrey Anatory wakazi wa Mabibo Jijini Dar Es Salaam,ambao kwa pamoja wamekutwa na mitambo ya kudurufu Cd,Vcd & Dvd, pamoja na kazi za Wasanii mbalimbali ,Zenye thamani ya shilingi million 25..Watuhumiwa hao walifikiswa katika kituo cha polisi urafiki kupisha uchunguzi zaidi






Picha kwa kwa hisani ya Michuzi

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging