
Katika hali ya kawaida na iliyokuwa ikitegemewa na wadau wengu mwaka huu hatimaye Siku ya jana yaani August 14 Jijini Nairobi Kenya,walishuhudia Fainali za shindano la Tusker Project Fame..All Star ,Kwa mara ya Kwanza Tanzania kupitia washindani wake wawili hatimae Peter Msechu Ameibuka kidedea kati ya washindi watatu wa mwaka huu,nikiwa na maana ya kuwa mwaka huu katika mashindano hayo kumekuwa na washindi wa Tatu walioshinda sawasawa .Na moja kati ya washindi hao ni Peter Msechu,Tanzania,Alfa Burundi,na kikubwa washindani kutoka Tanzania wameonyesha Uwezo mkubwa kwa swaga mbali mbali walizoonyesha katika jukwaa.Peter Msechu yeye alipiga kibao chake kipya alichkiita Relax Mama,kibao ambacho hata jaji Ian alikikubali,na kumwambia kuwa amemfanya alelax..Hemed yeye alikuwa na style yake kwa kuingia na pufyum kwenye jukwaa na aliokuwa akiipuliza wakati yuko juu la jukwaaa....







