Google PlusRSS FeedEmail

TYRESE YUKO KATIKA NAFASI ZA MWISHO - KUMALIZA ALBAMU YAKE

                        
Kwa mujibu wa ukurasa wake katika mtandao wa Twitter Mwanamuziki na Mcheza Filamu Tyrese ameweka bayana kuwa Albamu yake mpya Open Invitation iko katika hatua za mwisho mwisho,aliongeza kwa kusema,amekuwa akitumia muda mwingi studio,ili Kazi hiyo iwe bora kwa ajili itakapotoka ipate mafanikio makubwa...Kote duniani...

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging