Machine Gun Kelly kijana mwenye imri wa miaka 21 tu ,ambaye alianza rapping tangu mwaka 2004, na ndio rapper wa kwanza kushinda Tunzo ya Amateur Night at the Apollo back mwaka 2009, Baada ya mafanikio hayo ya kijana huyo hatimae Rapper & CEO wa Bad Boy Records ameamua kuingia mkataba na Machine Gun Kelly kwa ajili ya kutengeneza Albamu yake ya kwanza..Mikataba yote hiyo kati ya Rapper Machine Gun Kelly Na Bad Boy Records ilisainiwa jana jioni August 3..