Prince 14,Paris 13 Prince Michael 2-9 waliudhururu hafla maalumu na kukabidhi vipande 10 vya kazi ya sanaa vilivyosainiwa na baba yao..na moja ya kazi hizo ni mchoro wa katuni ya Mickey Mouse,kiti cha kifalme cha Peter Pan
Pia mama wa Michael ,Bi Katherine aliungana na wajukuu zake akiwa na binti yake Latoya,ambapo alisema picha hizo zitanyayua maisha ya watoto...







