Wakati wakiwa wanazidi kupata mafanikio makubwa kupitia sanaa ya Filamu toka huko Hollywood Nchini Marekani,Brad Pitt na Mpenzi wake Angelina Jolie,wameweka bayana kuwa kwa sasa hawana mpango wa kuongeza mtoto wa kuzaa wala wa kusaili wala hawana mpango wa kufunga ndoa ila kwa sasa wote kwa pamoja wamejipanga vyema katika kucheza filamu nyingi zaidi ili kuongeza kipato cha familia,katika mahojiano na Jarida la Boom Box Alisikika akisema "Hatuna mpango kufunga ndoa ya siri wala sina ujauzito na wala hatuna mpango wa kusaili mtoto mwingine"







