Mwanamuziki na Muigizaji na Mwanamama Jessica Simpson ameweka bayana kuwa anatarajia kufanyiwa upasuaji ili kupunguza ukubwa wa matiti yake
Jessica 31 aliwaambia marafiki zake kuwa anataka kufanya hivyo kutokana Matiti yake yamemfanya aonekane Mnene ,Kwa wa Tmz alisikika akisema "Sipendi kuwa na kifua kikubwa "Kwa mujibu wa Tmz Nyota huyo anataka kufanya upasuaji huo mapema kabla ya harusi yake na mwanasoka wa Marekani Eric Johnson amesema kama atakuwa hajafanya upasuaji huo,aliweka bayana atahairisha harusi yake kupisha upasuaji huo kwa maana harusi yake imepagwa kufanyika Ijumaa Novemba 11 mwaka huu







