Google PlusRSS FeedEmail

BABA WA UKOO -ROMA - BANX WAPIGA KITU CHA PAMOJA NDANI YA NOIZMEKAH



Baba wa ukoo a.k.a Mo plus ndani ya Noizmekah studios Arusha akiwa na
Banx & Roma ambapo ilidondoshwa hiphop track ya ukweli,Ngoma hiyo ipo katika harakati kufanyiwa mixing na mtu Mzima Dx- katika ngoma hiyo pia wamemshirikisha Roma Mkatoliki kwasababu muziki wake ni alisi kama mziki naofanya mimi alisikika baba wa ukooo aliongeza kwa kusema katika harakati za kukuza muziki huu pande za A-Town hii itakuwa mara ya kwanza kwa Roma kufanya Track ndani ya Noiz chini Dx
mbali na ngoma hii itakayotoka hewani baada ya mixing,nimeshaanza project ya mixtape na JCB,Ngoma ya kwanza ikiwa ni beat ya producer "Moscore" na mixing ya
"Dx" ndani ya noizmekah Arusha.pini hilo pia Banx kasmamia chorus na inaenda kwa jina "everywhere we go"

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging