
Katika hali ambayo haikutarajiwa Mama Mtarajiwa juzi usiku huko New York,wakati akizindua manukato yake mapya ambayo yatakuwa ya tatu sasa,ila haya ameyapa jina la Pulse,ila ambacho waandishi hawakukitegemea aliruhusu kupata maswali mbali mbali kuhusiana na ujauzito wake...wakati alisikika akisema
"It is the most powerful creation for you to be able to have life growing inside of you," she said. "There is no bigger gift, nothing more empowering."
She said she's not going to let the pregnancy affect her work ethic.
"I think it is just passion," she said. "When you are excited about something, you don't have to think about your energy. It is natural and comes from adrenaline. It is important that I don't look at this as like an illness. I am not sick. I am the same woman and I have the same passions."







